Nikisema michezo, simaanishi mpira pekee. Ni kuanzia michezo ya mbio, raga, baiskeli na mpira wenyewe kwenye ngazi ya taifa ...
Timu za taifa za Kenya na Tanzania zitachuana Alhamisi usiku katika mechi muhimu ya mchezo wa soka, kuwania taji la bara Afrika, michuano inayoendelea nchini Misri. Mataifa haya mawili yapo katika ...
Wiki ya pili sasa kumekuwa na maandamano katika miji kadhaa ya Kenya yaliyoitishwa na upinzani chini ya kinara wa ODM na mwanasiasa wa upinzani wa muda mrefu, Raila Odinga. Kwa mujibu wa Upinzani ...
Kenya na Tanzania zimesema zinafanya juhudi kuutatua mvutano uliozuka baina ya nchi hizo mbili baada ya Tanzania kutangaza kufuta kibali cha safari za ndege za shirika la Kenya Airways kati ya Nairobi ...
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imeungana na Jamhuri ya Kenya kwenye sherehe za maadhimisho ya kumbukizi ya uhuru wa Taifa hilo (Jamhuri Day), zilizofanyika katika Uwanja wa Nyayo jijini Nairobi. Kati ...