Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Meya wa Jiji la Zanzibar, Kamal Abdulsatar Haji akizungumza na madiwani leo Desemba 23, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Baraza la Jiji Zanzibar, Michenzani Mall, Mjini Unguja Unguja. Meya wa Jiji la ...
Dodoma. Tume ya Utumishi wa Umma (TUU) imekubali rufaa 15 kati ya 88 zilizoombwa, ikitaja makosa matano yanayolalamikiwa zaidi. Makosa hayo ni utoro kazini, wizi na rushwa kwa mali ya umma, kughushi ...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na waandishi wa habari katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni mkoani Tanga leo. Picha na Sunday Geoerge Handeni. Serikali ya Tanzania imesema ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Mwandishi mwandamizi wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) na mkuu wa Habari wa MCL Mkoa wa Kilimanjaro. Ana uzoefu wa zaidi ya miaka 25 katika fani ya uandishi wa habari na amebobea katika ...
Peter Elias ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi mwenye shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (BA.PSPA) aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom). Amepata pia mafunzo ya uandishi wa ...
Mkuu wa Jeshi Libya afariki kwa ajali ya ndege, wengine saba Ndege binafsi iliyombeba Jenerali Muhammad Ali Ahmad al-Haddad, maofisa wengine wanne wa kijeshi na wahudumu watatu wa ndege ilianguka ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetupilia mbali shauri la maombi ya kuidharau Mahakama hiyo lililokuwa linawakabili Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, Katibu Mkuu ...
Dar es Salaam. Jana mida flan hivi, mdogo mdogo wakati narudi nyumbani nikiwa natoka zangu Jangwani kupiga kelele na kina Mzize. Nikakumbuka mfukoni sina hata mia, mawazo yakahama kutoka Jangwani hadi ...
Haiwi haiwi, huwa na imekuwa! Si Nepali na Madagascar mafyatu walifyatuka na kufyatua kikaumana! Nani alitegemea mafyatu waliodhaniwa kutoweza kufyatuka au kufyatuliwa wangefyatuka na kufyatua ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果