ZIMEPITA siku chache tangu mkongwe wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini, Haroun Rashid Kahena a.k.a Inspekta Haroun au Babu ...
STAA wa filamu nchini, Kajala Masanja imedaiwa kesho Jumatatu atavishwa pete ya uchumba kwa mara nyingine na Harmonize ambaye ni supastaa wa Bongo Fleva.